English version below:
Je unataka kuleta mabadiliko? kwa kufanya kazi za maendeleo endelevu Tanzania?Je unapenda kuchangia maendeleo ya jamii yako, ndani ya Tanzania?#SDG #ChangeTanzania
Je, unania,ujuzi na uwezo wa ufumbuzi wa suluhisho endelevu nchini Tanzania?
Shirika la Jengo linatafuta wanafunzi wa kujitolea wenye uweledi na ujuzi toka shule msingi,sekondari au chuoni kwenye maeneo yafuatayo:
•Umeme: Kata upepo dogo linalotoa nishati ya umeme ,kufuma transfoma
•Teknolojia ya mazingira: Tanki dogo ambalo litaweza tengenezewa chujio la kuchuja maji machafu
•Jiko la mionzi ya jua
Kwa pamoja tunaweza kubadilisha ujuzi na kuweza saidia jamii zetu vijijini na sehemu zenye uhitaji. Tunategemea kuanza suluhisho za miradi hii katikati ya mwezi wa nane mwaka huu 2017. Kama unaweza saidia wasiliana nasi kwa barua pepe tdigital22@gmail.com
Miradi ya jengo angalia hapa
English version:
Do you want to make a difference by working with sustainable development in Tanzania?
Are you interested in developing sustainable solutions in Tanzania? Water filters, sun ovens, windmill technology and solar energy are some of the focus areas that Jengo works with. Contact tdigital22@gmail.com for more information.
Jengo is on the lookout for students/ volunteers with a flair for:
• Small-scale windmill and solar panel development
• Environmental technologies: water filter development
• Sun oven
Your work with us will provide you with unforgettable experiences and the opportunity to work first hand with development and together we can share knowledge with communities in Tanzania. We will kick off the implementation of the first set of tech solutions in middle of August.