Events
56th Tanzania Independence Day Celebrations
Swahili version below:
56th Tanzania independence day celebrations this year will be on Saturday 09.12.2917 from 17:30- 02:30.
Kulturhuset indre by ,Charlotte Ammundsens Pl. 3, 1359 København K
Let's celebrate Tanzanian culture, Tanzanian music, let's taste Tanzanian food lets celebrate together.
**Swahili version below**
Let's celebrate Tanzanian culture, Tanzanian music, let's taste Tanzanian food lets celebrate together.
**************************
Tanden will be celebrating 56th Tanzania Independence Day on Saturday 9-12-2017 at Kulturhuset Indre by, Charlotte Ammundsens Pl. 3, 1359 København K, The celebrations will start at 1730hrs – 0300hrs.
There will be lots of entertainment and cultural activities
• TANZANIAN CUISINE.
• Dance performance.
• Cultural dance.
• Games (General knowledge about Tanzania) winner/winners will be awarded great prizes.
• DJ's ANIL & FABRmuchwillbe playing (Bongo flava,Taarab,mchiriku,Naij
**************************
With your 150kr ADULTS and 50kr KIDS (6-10yrs) contributions, you are going to help people inneed in Tanzania through Tanden projects.
NOTE:There will be no Dankrot machine neither Mobile pay service, so you are advised to bring cash with you. Sorry for this inconvenience.
https://www.instagram.com/
https://www.watanzania.dk/
Karibuni nyote "Umoja ni nguvu"
**************************
Swahili version:
Sherehe za uhuru wa Tanzania mwaka huu zitafanyika Kulturhuset indre by Charlotte Ammundsens Pl. 3, 1359 København K, siku ya Jumamosi 09.12.2017 muda 11:30 jioni hadi 02:30 za usiku.
Njoo tusheherekee utamaduni wa kiTanzania, muziki wa Tanzania, njoo tule chakula cha kiTanzania njoo tu sheherekee pamoja.
**Swahili version**
Njoo tusheherekee utamaduni wa kiTanzania, muziki wa Tanzania, njoo tule chakula cha kiTanzania njoo tu sheherekee pamoja.
**************************
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwakaribisha nyote na njooni tusheherekee wote, Kutakua na vivutio mbalimbali siku hiyo:
· CHAKULA CHA KITANZANIA.
· Ngoma za utamaduni.
· Maswali na majibu ( uwelewa kuhusu Tanzania) Mshindi/washindi watapata zawadi nono.
· Maonyesho ya kucheza muziki
· DJ’s ANIL & FABRICE ( Watatumbuiza Bongo flava, Taarabu,zilipendwa,Mchirik
**************************
kwa mchango wako wa 150kr kwa WAKUBWA na 50kr kwa WATOTO MIAKA (6-10) utaweza badilisha Tanzania, kwa kupitia miradi ya Tanden iliyopo Tanzania.
UFUNGUO: Hakutakua na huduma za Dankort na Mobile pay tafadhali njoo na pesa mkononi, poleni kwa usumbufu.
https://www.instagram.com/
https://www.watanzania.dk/
- Start
- Dec 09, 2017 17:30
- End
- Dec 10, 2017 02:30
- Event Category
- Exhibition, Festivals, Food, Kids & Family
Details
Organizer
- Address
- Charlotte Ammundsens Pl. 3, 1359