Events
Gladsaxe African Village
*Wapendwa wana Tanden.*
Kwa niaba ya viongozi Tanden, Kamati ya sherehe inapenda kuwakaribisha kwenye sherehe ya *African Village festival Gladsaxe kommunen talehe 4/6. Festival inaanza saa nne kamili asubuhi mpk saa kumi jioni.* *Anuani Telefonvej 8, 2860 Søborg.*
*Program* :
1. Kutambulishwa kwa Program ya sherehe
2. Mashindano ya chakula toka kila nchi
3. Mashindano ya mapambo ya utamaduni wa kila nchi mbalimbali. ( *hapa aliyekuwa na vitu toka Tz anataka kuuzisha anaweza kujanavyo lakini bei isizidi kroner 200)*
4. Mashindano ya mavazi toka nchi mbalimbali.
*kwenye sherehe tumepata meza mbili moja ya chakula na moja ya exhibition.*
Natumaini wote tutashirikiana kwa kujumuika pamoja kwani umoja ni nguvu na pamoja tunaweza.
*Kuhusu African Village festival:* inawakilishwa nchi zote za African na ubalozi zao ambazo ziko apa Denmark.
Bolozi yetu iko Sweden na kwa bahati mbaya hawataweza kushiriki.
**Mwenyekiti wa kamati ya sherehe. Mr. Dulla na Katibu wake Dada Chantal ????*
- Start
- Jun 04, 2022 10:00
- End
- Jun 04, 2022 16:00
- Event Category
- Festivals
Details
- Website
- https://africanvillage.dk
Organizer
- Address
- Telefonvej 8, 2860 Søborg