Timu ya Tanden FC yawakongwe na vijana watakutana Jumamosi 02-06-2018, saa sita na nusu za mchana katika viwanja vya Fælledparken katika kufanya mazoezi. Kwa wale watakao pata muda wa kuja kujumuika kwa vijana na wazee mnakaribishwa.
Twajua sote ya kwamba michezo ( mpira wa miguu) ni njia mojawapo ya kukutana na watu na kuchangamana hususani kwenye hiki kipindi cha majira ya joto. Karibuni rika na jinsia zote zinakaribishwa.