Kwa watu wote wenye matatizo ya kushughulikiwa pasi zao, Muheshimiwa Balozi Dora Mmmari Msechu na ujumbe wake utakua Denmark katika mji wa Odense siku ya jumamosi 26-09-2015, Anuani ni Klintebjergvej 105 ,5450 Otterup.
Shughuli za pasi zitaanza muda wa saa tisa alasiri 9 ( 15hrs).
Tafadhari tembelea tovuti ya ubalozi tovuti ya ubalozi .
ili uweze kuona masharti na vipengele vyote unavyotakiwa kufanya kabla ya kufika siku hiyo.