Kama ulikosa kuhudhuria sherehe yetu ya uhuru,basi waweza pitia kwenye album ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania 2015 na kujionea mwenyewe vitu mbalimbali. Tegemea kuona picha kutoka kwa wana TANDEN,Wageni waalikwa,ngoma n ...
Author Archives: DM_WatanzaniaDK
TANDEN INAPENDA KUTOA SHUKRANI
English version below: Tanden inapenda kutoa shukurani za dhati kwa wanachama wake wake na watu wote walioweza kufanikisha kwa namna moja ama nyingine, shughuli yetu ya kusheherekea miaka 54 ya uhuru wa Tanzania. Tuende ...
Sebastian anasubiri kwa hamu kuja kula chapati Jumamosi kwenye sherehe za uhuru Vanløse 19hrs.
Sebastian na ushiriki wake Jumamosi 12-12-2015 Vanløse. Katika sherehe ya uhuru wa Tanzania. #watanzaniadk A video posted by Tanzania Denmark Association (@watanzaniadk) on Dec 7, 2015 at 9:41am PST ...
Njoo ujionee mavazi na mitindo ya kinyumbani” Tanzania” Jumamosi 12.12.2015
Anna Matunda atakuwepo katika kuonyesha mitindo ya mavazi tena ya kiutamaduni Jumamosi 12-12-2015, .#watanzaniadk Anna Matunda she will be celebrating Tanzania independence day with us and she is going to show case h ...
Ubalozi utakuwepo siku ya Jumamosi 12-12-2015 kushughulikia masuala ya pasi
Wanao hitaji pasi mahitaji ni kama yafuatayo: 1.Passport size 5 zany urefu wa 4.5cm na upana 4cm. Nyuma yake (background) ya maji ya bahari(sky-blue) 2.Passport ya Tanzania pamoja na nakala 5 za mwanzo za ukurasa wa mw ...
Kuelekea kilele cha kusheherekea miaka 54 ya uhuru wa Tanzania
Allan atakuwepo kwenye kusheherekea Uhuru wa Tanzania, siku ya jumamosi 12-12-2015 pale Vanløse na wewe je? A video posted by Tanzania Denmark Association (@watanzaniadk) on Dec 4, 2015 at 1:08pm PST ...
Karibu kwenye sherehe ya uhuru wa Tanzania
Sebastian na ushiriki wake Jumamosi 12-12-2015 Vanløse. Katika sherehe ya uhuru wa Tanzania. A video posted by Tanzania Denmark Association (@watanzaniadk) on Dec 7, 2015 at 9:41am PST ...