Uongozi wa Tanden na wanachama wake wote unapenda kuchukua nafasi hii ya kipekee, kuwatakia heri ya Christimas na Mwaka mpya 2018 wenye fanaka tele.????????? “Umoja ni nguvu” tushikamane katika kukijenga chama chetu. Mw ...
Author Archives: DM_WatanzaniaDK
TANDEN FAMILY DAY JUMAMOSI 07-10-2017
Swahili version below: Tanzania Denmark Association ( TANDEN) will have a getting together with their family and friends on Saturday 07-10-2017 from 12hrs-16hrs. It is the day were TANDEN celebrate unity and integration ...
Tanden yawakilishwa vyema katika Kongamano la wanaDiaspora-Zanzibar
Msikilize Mwakilishi kutoka Tanden ( Bwana John Butondo) dakika za (21:42) katika kongamano la nne la Diaspora lilifanyika Zanzibar. 1.Tanden inafanya nini-Tanzania 2.Nini dhumuni la umoja huu 3.Nini kiliio ch ...
mTanzania apata medali ya shaba Aarhus
Mtanzania apata medali ya shaba katika mchezo wa kutupa mkuki: mTanzania Shururwai Laanyuni amepata ushindi wa kutupa mkuki kwa wanaume miaka 60 - 64 kwenye mashindano ya Ulaya mzima katika mji wa Aarhus. #watanzania ...
The Tanzanian Cooking challenge
Klabu ya mpira wa miguu inayoshiriki katika ligi kuu ya Uingereza mwaka huu ilipata nafasi kuzuru nchi ya Tanzania. Katika safari yao hiyo ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Uingeeza, wachezaji wa timu hiyo waliwe ...
Tanzania na Gladsaxe kultur 2017
Tarehe 03-06-2017 Tanden iliwakilsha Tanzania katika maonyesho ya nchi mbalimbali kutoka Afrika "African village" ndani ya halmashauri ya Gladsaxe. Tanzania ilishika nafasi ya pili. Nchi mbalimbali toka Afrika ziliwakil ...
TWENDE TUKAIJENGE TANZANIA WOTE
English version below: Je unataka kuleta mabadiliko? kwa kufanya kazi za maendeleo endelevu Tanzania?Je unapenda kuchangia maendeleo ya jamii yako, ndani ya Tanzania?#SDG #ChangeTanzania Je, unania,ujuzi na uwezo wa ufu ...