Zanzibar has been one of the top 10 destination for tourist in Africa, and this is why? bofya kwenye link video hiyo chini. Karibu Zanzibar Tanzania ...
Author Archives: DM_WatanzaniaDK
DIASPORA WANA NIA YA KUSAIDIA NCHI YAO
"Diaspora wana nia ya kuisaidia nchi yao" "Uelewa wa matatizo yaliyopo na kukubali hali tofauti na kuendeleza upembuzi yakinifu na vitendo kwa ufumbuzi. Yote hii inakuja kutokana na uzoefu wa pamoja wa Diaspora na jamii. ...
Twaweza badilisha muono wa shule Tanzania
Sharing is caring if we work hard enough and think into a bigger picture, matatizo ya nyumbani Tanzania tunaweza yamaliza kwa umoja wetu wa TANDEN au kushirikiana na wadau wengine kwa lengo la maendeleo na kujikwamua kut ...
DIASPORA NA SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI
Kheri ya mwaka mpya wana TANDEN na waTanzania kwa ujumla. Kutakua na mkutano maalumu wa kuzungumzia mambo ya DIASPORA na SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI. Mkutano utafanyika JUMAMOSI 04-02-17. Mida saa sita za mchana(12hrs).Ma ...
Transforming idea into impact from Amager to Kwediamba
Donald ni mwanafunzi anaye soma kidato cha pili Tanzania. Ameweza kujitengenezea mwenyewe kata upepo inayotoa nishati ya umeme. Donald na washiriki wenzake 100, kutoka katika kijiji cha kwediyamba,Handeni Tanga wameweze ...
HERI YA CHRISTIMAS NA MWAKA MPYA 2017
TANDEN INAPENDA KUWATAKIA HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA MERRY CHRISTIMAS AND HAPPY NEW YEAR GLÆDELIG JUL OG GODT NYTÅR "UMOJA NI NGUVU" KARIBU MWAKA 2017 Tuwe na chama cha mshikamano Tukumbuke kulipa ada za uanacha ...
Thank you for attending our event
Tanden would like to thank its members, participants, children, guest and all of you who attended the 55th Tanzania Independence Day celebration at Vanløse. The celebration was great, people had socialized and had enjoy ...