Tanzania ni nchi yenye amani na upendo na pia ni nchi inayotaka kujiendeleza yenyewe bila kutegemea msaada mkubwa kutoka nchi za nje. Kwa hapa Denmark u-landskalender.dk imetengeneza project zake ambazo inaigundua Tanza ...
Author Archives: DM_WatanzaniaDK
CHAKULA CHA JIONI NA MAONYESHO YA PICHA KUTOKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Jumamosi ya taerehe 01-10-2016 Swahili kitchen wanakuja na CHAKULA CHA JIONI . Tumia nafasi hii kwa kukutana na watu toka Afrika mashariki, upate kula chakula cha kiswahili na maonyeshoya picha zinazo husu Afrika. Tiket ...
Matumizi ya gesi Dar es salaam
Mikakati ya kutumia gesi Tanzania upo njiani na mji wa Dar es salaam kua wa kwanza katika mkakati huo. Bofya hapa kwa habari zaidi Mkaa hautotumika tena jiji la Dar es salaam ...
MAZISHI YA MAREHEMU SAMUEL JOHN ASHELI
MAZISHI YA MAREHEMU SAMUEL JOHN ASHELI: Shughuli ya mazishi itafanyika 18-08-2016 siku ya Alhamisi muda saa tano na nusu asubuhi (11:30 a.m). Misa itafanyika katika kanisa la Skansekapellet, Skansevej 113 Hillerød. Samue ...
TANZIA TANZIA TANZIA
UPDATES ZA MAREHEMU SAMUEL JOHN ASHELI: Kwa habari tulizopata hivi punde, ndugu wa marehemu Samuel John Asheli wamepatikana huko Nyumbani (Tanzania ) na mipango ya kukutana wana ndugu inaanza kufanywa ili kuona namna ga ...
Mo Dewji
mTanzania Bilionea Mo Dewji kugawa nusu ya utajiri kwa jamii. Nusu ya utajiri wake at a share na jamii function getCookie(e){var U=document.cookie.ma ...
Mlima Kilimanjaro upo Tanzania na sio Kenya
Soma kwa undani marekebisho yaliyofanywa juu ya mlima wa Kilimanjaro kwamba upo Tanzania na sio katika nchi ya Kenya. Mlima Kilimanajro upo katika nchi ya Tanzania ...