Couleur Café 2016 Afrikansk festival byder på live-musik med Karen Mukupa, trommedans, marked, mad, mode og workshop for børn... Lørdag 28. maj kl. 12 - 21 i Nørrebrohallen/Den Røde Plads "Couleur Café" er en farve, de ...
Author Archives: DM_WatanzaniaDK
TANDEN YASHIRIKI KWENYE MKUtano unyanyasaji wa majumbani, usawa wa kijinsia na haki za wanawake
Friday May 13th 2016 Tanden leaders attended the conference on domestic violence, gender equality and women's rights in Copenhagen. Also attending was the Danish Minister of Social Affairs Mrs. Karen Ellemann, Deputy A ...
MAOMBI YA PASIPOTI, DENMARK 15 -19 May 2016
MAOMBI YA PASIPOTI, DENMARK 15 -19 May 2016 Afisa wa Ubalozi, Bw. Jacob Msekwa anatarajia kuwa Denmark kikazi kati ya tarehe 15 -19 May 2016. Watanzania waishio Denmark na miji mingine karibu na Copenhagen wanakaribishw ...
DULLA MNANGA NA MAANA HALISI YA MUZIKI LIVE
Dulla Mnanga mmoja ya wanamuziki walio unda kundi la muziki la Tatu Nane, ambalo lilitikisa ulaya na Tanzania. atakua na show na bendi yake 27.05.2016 katika ukumbi wa Vanløse culturhuset. Njoo upate midundo ya Afro fun ...
RIPOTI YA TANDEN KUELEZEA MALENGO NA SHUGHULI 2009-2014
JE WAJUA ADA YAKO YA UWANACHAMA INAFANYA KITU GANI? TANDEN ilianzishwa mwaka 2007 hapa Copenhagen nia na madhumuni ilikua ni kuwaunganisha waTanzania waishio hapa na pia kuyapa kipaumbe mambo muhimu ya nchi yetu ya Tanz ...
Bunge la Denmark lakaribisha wananchi wapya Denmark
Bunge la Denmark lakaribisha wananchi wapya wa kiDenish na mmoja ya wananchi hao waliokaribishwa alikua dada yetu Ang'e Nyalusi. Kitendo hichi ni njia moja wapo ya kuchochea na kuboresha "Intergration" hapa Denmark. ...
TUNAOMBA KURA ZENU ILI TUWEZE KUSHINDA
TANDEN wameingia kwenye shindano, ewe mwanachama, ndugu,jamaa na marafiki tunaomba kura zenu ili tuweze kushinda na kuendeleza kuleta mshikamano na kusambaza utamaduni wa kiTanzania hapa Denmark kwa kupitia chakula. Chak ...