Anna Matunda atakuwepo katika kuonyesha mitindo ya mavazi tena ya kiutamaduni Jumamosi 12-12-2015, .#watanzaniadk Anna Matunda she will be celebrating Tanzania independence day with us and she is going to show case h ...
Category: Political News
Ubalozi utakuwepo siku ya Jumamosi 12-12-2015 kushughulikia masuala ya pasi
Wanao hitaji pasi mahitaji ni kama yafuatayo: 1.Passport size 5 zany urefu wa 4.5cm na upana 4cm. Nyuma yake (background) ya maji ya bahari(sky-blue) 2.Passport ya Tanzania pamoja na nakala 5 za mwanzo za ukurasa wa mw ...
Kuelekea kilele cha kusheherekea miaka 54 ya uhuru wa Tanzania
Allan atakuwepo kwenye kusheherekea Uhuru wa Tanzania, siku ya jumamosi 12-12-2015 pale Vanløse na wewe je? A video posted by Tanzania Denmark Association (@watanzaniadk) on Dec 4, 2015 at 1:08pm PST ...
Tushirikiane kwa pamoja kuandaa sherehe ya uhuru wa Tanzania
English version below: MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA Maandalizi ya sherehe ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania hapa Denmark 12-12-2015 yanakaribia kuanza. Ewe rafiki,mwanachama,mTanzania na jamaa wa TANDEN, chukua fursa hii ...
Saidia kujenga darasa kwa wanafunzi hawa
After general election #election2015 in Tanzania, both the ruling party and opposition parties have promised into their manifesto, the education in Tanzania will be free for all. As the community we also can play part on ...
Nafasi ya kuomba pasi mpya za kiTanzania Jumamosi 26-09-2015
Kwa watu wote wenye matatizo ya kushughulikiwa pasi zao, Muheshimiwa Balozi Dora Mmmari Msechu na ujumbe wake utakua Denmark katika mji wa Odense siku ya jumamosi 26-09-2015, Anuani ni Klintebjergvej 105 ,5450 Otterup. ...
Sherehe za miaka 10 ya chama cha waTanzania Fyn 26-09-2015
Ndugu watanzania Kwa furaha kubwa ,umoja wa watanzania fyn umeweza kumwalika muheshimiwa balozi wetu Kuja kutembelea mji wa Odense na kuwa mgeni rasmi katika kuadhimisha miaka kumi ya umoja huu wa watanzania fyn . Hi ...