Donald ni mwanafunzi anaye soma kidato cha pili Tanzania. Ameweza kujitengenezea mwenyewe kata upepo inayotoa nishati ya umeme. Donald na washiriki wenzake 100, kutoka katika kijiji cha kwediyamba,Handeni Tanga wameweze ...

Donald ni mwanafunzi anaye soma kidato cha pili Tanzania. Ameweza kujitengenezea mwenyewe kata upepo inayotoa nishati ya umeme. Donald na washiriki wenzake 100, kutoka katika kijiji cha kwediyamba,Handeni Tanga wameweze ...
TANDEN INAPENDA KUWATAKIA HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA MERRY CHRISTIMAS AND HAPPY NEW YEAR GLÆDELIG JUL OG GODT NYTÅR "UMOJA NI NGUVU" KARIBU MWAKA 2017 Tuwe na chama cha mshikamano Tukumbuke kulipa ada za uanacha ...
JJ Paulo alivyochangamsha ukumbi siku ya kusheherekea uhuru wa Tanzania, katika ukumbi wa Vanløse. Tanden inapenda kukushukuru kwa kuitikia wito wa uTanzania wa kudumisha umoja tukiwa huku ughaibuni. https://youtu.be/3 ...
click img_3106 for the introduction video.....!!!!!! J J Paulo he is ready to give out his ultimate show at the Tanzania Independence celebration Vanløse, together with our three DJ's (Anil,Fabrice and Kwere) will pum u ...
Chama cha waTanzania waishio hapa Denmark (TANDEN) kushirikiana na shirika la GTS Denmark vimetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya hospitali kuelekea Tanzania,Shinyanga. Vitanda vya kulaza wagonjwa (Mashuka,mag ...
Je una mjua vizuri JJ.Paulo mTanzania na mDenish mwanamuziki anaye ishi Århus? JJ.Paulo atashiri kwenye sherehe za uhuru wa Tanzania 03-12-2016 Vanløse kulturhuset. Muziki wake ni muunganiko wa ngoma za kisukuma na mziki ...
Tanzania ni nchi yenye amani na upendo na pia ni nchi inayotaka kujiendeleza yenyewe bila kutegemea msaada mkubwa kutoka nchi za nje. Kwa hapa Denmark u-landskalender.dk imetengeneza project zake ambazo inaigundua Tanza ...