Jumamosi ya taerehe 01-10-2016 Swahili kitchen wanakuja na CHAKULA CHA JIONI . Tumia nafasi hii kwa kukutana na watu toka Afrika mashariki, upate kula chakula cha kiswahili na maonyeshoya picha zinazo husu Afrika. Tiket ...
Category: Political News
Matumizi ya gesi Dar es salaam
Mikakati ya kutumia gesi Tanzania upo njiani na mji wa Dar es salaam kua wa kwanza katika mkakati huo. Bofya hapa kwa habari zaidi Mkaa hautotumika tena jiji la Dar es salaam ...
MAZISHI YA MAREHEMU SAMUEL JOHN ASHELI
MAZISHI YA MAREHEMU SAMUEL JOHN ASHELI: Shughuli ya mazishi itafanyika 18-08-2016 siku ya Alhamisi muda saa tano na nusu asubuhi (11:30 a.m). Misa itafanyika katika kanisa la Skansekapellet, Skansevej 113 Hillerød. Samue ...
TANZIA TANZIA TANZIA
UPDATES ZA MAREHEMU SAMUEL JOHN ASHELI: Kwa habari tulizopata hivi punde, ndugu wa marehemu Samuel John Asheli wamepatikana huko Nyumbani (Tanzania ) na mipango ya kukutana wana ndugu inaanza kufanywa ili kuona namna ga ...
Karen Mukupa anajivunia lugha ya kiswahili sisi je?
Licha ya kwamba KAREN MUKUPA hajazaliwa Tanzania na pia yeye ni nusu mDenish na nusu mZambia lakini amekulia Tanzania. Anajivunia lugha ya kiswahili kwani ndio iliyo mkuza, ndio iliyo mfanya ajue maisha ya ujana n.k Na ...
DARASA LA KISWAHILI KWA WATOTO 2016/2017
Wazazi,wanachama na jamii yetu yote ya kiTanzania iliyopo Denmark. København Kommune wanatoa huduma ya lugha ya mama (modersmål) ambayo kwetu sisi itakua Kiswahili . Kommune inaweza kulipia gharama zote kama idadi ya wat ...
SIKU YA TANDEN FAMILY DAY IMEHAIRISHWA
Swahili version below: Tanden regret to inform it’s members and friends that the Tanden family day that was suppose to be taken place on Saturday 18-06-2016 have been postponed. Tanden apologize for this inconvenience ...