Events
09Dec
All Events
56th Tanzania Independence Day Celebrations 09.12.2017
Swahili version below:
56th Tanzania independence day celebrations this year will be on Saturday 09.12.2917 from 17:30- 02:30.
Kulturhuset indre by ,Charlotte Ammundsens Pl. 3, 1359 København K
Lets celebrate Tanzanian culture, Tanzanian music, let's taste Tanzanian food lets celebrate together. More information coming soon...
Swahili version:
Sherehe za uhuru wa Tanzania mwaka huu zitafanyika Kulturhuset indre by Charlotte Ammundsens Pl. 3, 1359 København K, siku ya Jumamosi 09.12.2017 muda 11:30 jioni hadi 02:30 za usiku.
Njoo tusheherekee utamaduni wa kiTanzania, muziki wa Tanzania, njoo tule chakula cha kiTanzania njoo tu sheherekee pamoja. Habari zaidi zitafuata punde.....
- Start
- Dec 09, 2017 17:30
- End
- Dec 10, 2017 02:30
- Event Category
- Festivals, Food, Kids & Family
Details
Organizer
- Address
- Charlotte Ammundsens Pl. 3, 1359 København K
Venue
Close
Close
Close