Events
08Nov
54TH TANZANIA INDEPENDENCE DAY CELEBRATIONS SATURDAY 12-12-2015
Swahili version below:
Tanzania Independence Day "Uhuru day". Lets celebrate Tanzanian culture, Tanzanian music, lets taste Tanzanian food lets celebrate together.
1. La Folie Crew : Performance break dance and Ndombolo show.
2 .Children performance.
3. Dj Anil will be playing the music (Zilipendwa,Azonto,Bongo flava,Hip pop,Mduara, R&B and many more)
4. Traditional culture perfomance
5. Fashion show designer from Tanzania and Denmark
6. Tanzanian special cuisine
NOTE: Please remember to bring cash with you, unfortunately dankrot machine service and Mobilepay will not be available.
More details will coming soon! book this date in your calendar, you dont want to miss this event.
Swahili version:
Siku ya kusheherekea uhuru wa Tanzania "uhuru day" njooni pamoja tusheherekee utamaduni wetu,muziki,njooni tuonje na kula chakula chetu njooni tusheherekee pamoja.
1.La Folie Crew : Performance break dance and Ndombolo show.
2.Watoto show.
3.Dj Anil atatumbuiza (Zilipendwa,Mduara,Mchiriku,Azonto,Bongo flava,Taarab,Hip pop, Reggae na nyengine nyingi)
4. Ngoma za utamaduni
5.Maonyesho ya mitindo.
6. Chakula cha kiTanzania
MUHIMU: Kumbuka kuja na pesa ukumbini, kwani huduma ya dankort na Mobilepay hazitakuwepo siku hiyo.
Habari kamili kuhusu siku hii tutawaletea hapo baade.
- Start
- Nov 08, 2015 13:00
- End
- Nov 08, 2015 16:00
Details
- Contact Person
- Mwenyekiti
- Phone
- 28106145
Organizer
- Address
- vesterbrogade 16,1620
Venue
Previous article Tanden general meeting: Mkutano mkuu wa Tanden
Next article MKUTANO WA TATHIMINI / FEEDBACK MEETING 21-02-16
All Events
Close
Close
Close