Events
MKUTANO WA TATHIMINI / FEEDBACK MEETING 21-02-16
Swahili version below:
Dear all
I would like to take this opportunity to invite you all to TANDEN feedback meeting.
The feedback meeting is for previously independence celebration party that was hold in Vanløse.
The meeting will take place on Sunday 21-02-16, time 13hrs place CAFÉ FLORA VESTERBROGADE 16,1620 KØBENHAVN K
YOUR PARTICIPATION IS VITAL TO TANDEN, TOGETHER WE CAN MAKE A STRONG ASSOCIATION
Note: You are more than welcome to send us your feedback via our emails mwenyekiti@watanzania.dk or katibu@watanzania.dk
Best regards
Vice chairman
Swahili version:
Habari wote
Napenda kuwataarifu wote kuwa, kutakuwa na kikao cha tathmini ya sherehe ya TANDEN ya uhuru iliyopita.
Kikao kitafanyika siku ya jumapili tarehe 21-02-16, muda SAA SABA kamili , mahali CAFÉ FLORA anuani VESTERBROGADE 16,1620 KØBENHAVN K
USHIRIKI WAKO NI MUHIMU.TUPO KATIKA KUJENGA CHAMA, KUIMARISHA CHAMA NA KUKIFANYA KIWE IMARA.
Dokezo: Waweza tuma maoni yako, kwa kupitia barua pepe mwenyekiti@watanzania.dk au katibu@watanzania.dk
Kama kuna mtu ana madai na chama , tafadhari njoo na stakabadhi yako ili uweze kurejeshewa pesa yako.
Wenu
Katibu
- Start
- Feb 21, 2016 13:00
- End
- Feb 21, 2016 15:00
Details
- Contact Person
- Mwenyekiti
- Phone
- 28106145
Organizer
- Address
- vesterbrogade 16
Leave a Reply