Events

08Oct Swahili Festival “Tamasha la Kiswahili” 08-10-2022

Swahili Festival “Tamasha la Kiswahili” 08-10-2022

Kwa mara nyengine tena Tamasha la Kiswahili "Swahili festival 2022" . njoo ujionee utamaduni wa chi za kiswahili (Kenya,Uganda,Rwanda,Congo,Tanzania, Burundi n.k) basi usikose siku hii.

Nini kitakuwepo:

  • Ngoma
  • Muziki
  • Fashion show
  • Maduka ya bidhaa za kiswahili
  • filamu za Afrika
  • NGO zinazofanya kazi Afrika mashariki
  • unataka kwenda kufanya prakitik East Africa njoo utapata  maelezo
  • Utalii

Tamasha hili hakka sio la kukosa.

Details

Start
Oct 08, 2022 11:00
End
Oct 08, 2022 20:00
Event Category

Organizer

Phone
Swahilihuset
Website
https://www.facebook.com/events/1149397662509886/

Venue

All Events
Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close