Events
18Jun
TANDEN FAMILY DAY 18-06-2016
Swahili version below:
Tanden invite all active members and their families for barbecue at Fælledparken and have a day full of fun and games.
Tanden will provide food and drinks.
The event will be on Saturday the 18th of June 2016.
More information will be available soon!
Swahili version:
Tanden inapenda kuwaalika wanachama wake hai wote na familia zao kujumuika pamoja kupata chakula cha mchana, kuburudika na michezo mbalimbali. Sehemu itakua Fælledparken. Tanden itahudumia chakula na vinywaji.
Siku hii itakua Jumamosi ya tarehe 18-06-2016.
Maelezo zaidi yatafuata punde!
- Start
- Jun 18, 2016 13:00
- End
- Jun 18, 2016 19:00
- Event Category
- Kids & Family
Details
- Contact Person
- mwenyekiti
- Phone
- 28106145
- Website
- http://www.watanzania.dk
Organizer
- Address
- Edel sauntes Alle
Venue
Previous article MKUTANO WA TATHIMINI / FEEDBACK MEETING 21-02-16
Next article 55th Tanzania independence day celebration
All Events
Close
Close
Close