Tanden iliwakilisha Tanzania katika tamasha la African Village lililofanyika 04-06-2022 hook Gladsaxe.
Pongezi nyingi ziwaendee kamati ya utamaduni pamoja na katibu wa Tanden kwa jitihada zake katika coordination. Umoja ni kitu muhimu sana kwa sisi watanzania tulio ughaibuni.