Mbunifu wa kiTanzania Christine Mhando CHICHIA atashiriki katika kongamano la kuongelea Afrika na mitindo inavyokua.
Sehemu: Øksnehallen
Muda: 12:30 hadi 14:00
Siku: Jumamosi 18-06-2016
Kwa maelezo zaidi Bofya hapa
http://www.africareframed.com/events/uk/2016/5/12/textile-workshop