Mvua kubwa zaleta uharibifu Tanzania

Mvua kubwa zaleta uharibifu Tanzania

 

 

mafuriko

 

Mvua kubwa zinazoendelea nchi Tanzania sasa katika baadhi ya mikoa, zimeleta uharibifu mkubwa na majanga ya vifo watu kupoteza maisha.Katika mkoa wa Dar es salaam sehemu kubwa ya mkoa huo miundo mbinu yake imeharibika. Mvua bado zinaendelea kunyesha kutokana na utabiri wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania pamoja na vyombo vya hali za hewa za nje

00191099-5b2d4f0343d1c6f1d8bbc5cd654135cf-arc614x376-w614-us1DSC_4698

 

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close