Dulla Mnanga mmoja ya wanamuziki walio unda kundi la muziki la Tatu Nane, ambalo lilitikisa ulaya na Tanzania. atakua na show na bendi yake 27.05.2016 katika ukumbi wa Vanløse culturhuset. Njoo upate midundo ya Afro fun ...

Dulla Mnanga mmoja ya wanamuziki walio unda kundi la muziki la Tatu Nane, ambalo lilitikisa ulaya na Tanzania. atakua na show na bendi yake 27.05.2016 katika ukumbi wa Vanløse culturhuset. Njoo upate midundo ya Afro fun ...
JE WAJUA ADA YAKO YA UWANACHAMA INAFANYA KITU GANI? TANDEN ilianzishwa mwaka 2007 hapa Copenhagen nia na madhumuni ilikua ni kuwaunganisha waTanzania waishio hapa na pia kuyapa kipaumbe mambo muhimu ya nchi yetu ya Tanz ...
Bunge la Denmark lakaribisha wananchi wapya wa kiDenish na mmoja ya wananchi hao waliokaribishwa alikua dada yetu Ang'e Nyalusi. Kitendo hichi ni njia moja wapo ya kuchochea na kuboresha "Intergration" hapa Denmark. ...
TANDEN wameingia kwenye shindano, ewe mwanachama, ndugu,jamaa na marafiki tunaomba kura zenu ili tuweze kushinda na kuendeleza kuleta mshikamano na kusambaza utamaduni wa kiTanzania hapa Denmark kwa kupitia chakula. Chak ...
TANDEN GENERAL MEETING: MKUTANO MKUU WA TANDEN JUMAMOSI 10-10-2015 11HRS: Swahili version below: The general meeting will articulate on the reports of TANDEN work produced by the TANDEN Central Committee and givin ...
Ndugu wana jumuiya,hii hapa ndio ripoti ya ujio wa mweshimiwa balozi wa Dora Msechu,katika kikao kilichofanyika Copenhagen. RIPOTI YA KIKAO CHA BALOZI WA TANZANIA KWA NCHI ZA SCANDINAVIA NA BALTIC MHE. DORA MMARI MSE ...
Ndugu wana jumuiya kuna nafasi zina tolewa na Danish Ministry of Foregin Afairs kupitia DANIDA za wanafunzi wa nchi zinazoendelea ikiwapo Tanzania za kujiunga na masomo ya juu hasa Masters kwa vyuo mbali mbali ha ...