"Jumuiya ya Watanzania Waishio nchini Denmark imetoa msaada wa nguo kwenya kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Kolandoto na kituo cha kulelea watoto wenye ualbino cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga. Akizung ...

"Jumuiya ya Watanzania Waishio nchini Denmark imetoa msaada wa nguo kwenya kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Kolandoto na kituo cha kulelea watoto wenye ualbino cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga. Akizung ...
Watu wapatao 100 milioni wanazungumza lugha ya kiswahili barani Afrika. Tanzania ikiwa ni nchi mojawapo inayoongoza kwa lugha hiyo. Duniani kote watu wanao jifunza na kuongea wanazidi ongezeka. Je sisi tulio ughaibuni h ...
Zanzibar has been one of the top 10 destination for tourist in Africa, and this is why? bofya kwenye link video hiyo chini. Karibu Zanzibar Tanzania ...
Sharing is caring if we work hard enough and think into a bigger picture, matatizo ya nyumbani Tanzania tunaweza yamaliza kwa umoja wetu wa TANDEN au kushirikiana na wadau wengine kwa lengo la maendeleo na kujikwamua kut ...
Kheri ya mwaka mpya wana TANDEN na waTanzania kwa ujumla. Kutakua na mkutano maalumu wa kuzungumzia mambo ya DIASPORA na SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI. Mkutano utafanyika JUMAMOSI 04-02-17. Mida saa sita za mchana(12hrs).Ma ...
Donald ni mwanafunzi anaye soma kidato cha pili Tanzania. Ameweza kujitengenezea mwenyewe kata upepo inayotoa nishati ya umeme. Donald na washiriki wenzake 100, kutoka katika kijiji cha kwediyamba,Handeni Tanga wameweze ...
TANDEN INAPENDA KUWATAKIA HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA MERRY CHRISTIMAS AND HAPPY NEW YEAR GLÆDELIG JUL OG GODT NYTÅR "UMOJA NI NGUVU" KARIBU MWAKA 2017 Tuwe na chama cha mshikamano Tukumbuke kulipa ada za uanacha ...