Tarehe 03-06-2017 Tanden iliwakilsha Tanzania katika maonyesho ya nchi mbalimbali kutoka Afrika "African village" ndani ya halmashauri ya Gladsaxe. Tanzania ilishika nafasi ya pili. Nchi mbalimbali toka Afrika ziliwakil ...

Tarehe 03-06-2017 Tanden iliwakilsha Tanzania katika maonyesho ya nchi mbalimbali kutoka Afrika "African village" ndani ya halmashauri ya Gladsaxe. Tanzania ilishika nafasi ya pili. Nchi mbalimbali toka Afrika ziliwakil ...
English version below: Je unataka kuleta mabadiliko? kwa kufanya kazi za maendeleo endelevu Tanzania?Je unapenda kuchangia maendeleo ya jamii yako, ndani ya Tanzania?#SDG #ChangeTanzania Je, unania,ujuzi na uwezo wa ufu ...
Tanzania ni nchi ya kwanza barani Afrika kwa uzalishaji na usafirishaji wa maharage. Tanzania peke yake inahudumia nchi karibia 10 Afrika nzima. Pata kidokeza cha video hapa Kilimo cha maharage Tanzania. Kuna umuhimu mk ...
Swahili version below: TANDEN 10 year Anniversary. Tanden will like to say thank you to all TANDEN members and their friends who attended the meeting yesterday (06-05-2017). The meeting was great and we got lots of good ...
Kampuni ya M-PAYG iliyopo hapa Denmark imevumbua njia mbadala ya kupata nishati ya umeme kwa , wanachi wa Tanzania. kwa kiasi cha 35kr utalipia kwa mwezi matumizi yako ya umeme wa nishati ya jua. Kwa habari zaidi ku ...
"Jumuiya ya Watanzania Waishio nchini Denmark imetoa msaada wa nguo kwenya kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Kolandoto na kituo cha kulelea watoto wenye ualbino cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga. Akizung ...
Two hours of constructive Swahili lessons for beginners with experienced teachers. Dont miss out this opportunity of becoming one among millions of people who speaks Swahili language in the world. For example read about ...