Uongozi wa Tanden na wanachama wake wote unapenda kuchukua nafasi hii ya kipekee, kuwatakia heri ya Christimas na Mwaka mpya 2018 wenye fanaka tele.????????? “Umoja ni nguvu” tushikamane katika kukijenga chama chetu. Mw ...

Uongozi wa Tanden na wanachama wake wote unapenda kuchukua nafasi hii ya kipekee, kuwatakia heri ya Christimas na Mwaka mpya 2018 wenye fanaka tele.????????? “Umoja ni nguvu” tushikamane katika kukijenga chama chetu. Mw ...
Swahili version below: Tanzania Denmark Association ( TANDEN) will have a getting together with their family and friends on Saturday 07-10-2017 from 12hrs-16hrs. It is the day were TANDEN celebrate unity and integration ...
Mtanzania apata medali ya shaba katika mchezo wa kutupa mkuki: mTanzania Shururwai Laanyuni amepata ushindi wa kutupa mkuki kwa wanaume miaka 60 - 64 kwenye mashindano ya Ulaya mzima katika mji wa Aarhus. #watanzania ...
Kheri ya mwaka mpya wana TANDEN na waTanzania kwa ujumla. Kutakua na mkutano maalumu wa kuzungumzia mambo ya DIASPORA na SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI. Mkutano utafanyika JUMAMOSI 04-02-17. Mida saa sita za mchana(12hrs).Ma ...
Donald ni mwanafunzi anaye soma kidato cha pili Tanzania. Ameweza kujitengenezea mwenyewe kata upepo inayotoa nishati ya umeme. Donald na washiriki wenzake 100, kutoka katika kijiji cha kwediyamba,Handeni Tanga wameweze ...
Ndugu wana jumuiya,hii hapa ndio ripoti ya ujio wa mweshimiwa balozi wa Dora Msechu,katika kikao kilichofanyika Copenhagen. RIPOTI YA KIKAO CHA BALOZI WA TANZANIA KWA NCHI ZA SCANDINAVIA NA BALTIC MHE. DORA MMARI MSE ...