Mtanzania apata medali ya shaba katika mchezo wa kutupa mkuki: mTanzania Shururwai Laanyuni amepata ushindi wa kutupa mkuki kwa wanaume miaka 60 - 64 kwenye mashindano ya Ulaya mzima katika mji wa Aarhus. #watanzania ...

Mtanzania apata medali ya shaba katika mchezo wa kutupa mkuki: mTanzania Shururwai Laanyuni amepata ushindi wa kutupa mkuki kwa wanaume miaka 60 - 64 kwenye mashindano ya Ulaya mzima katika mji wa Aarhus. #watanzania ...
Klabu ya mpira wa miguu inayoshiriki katika ligi kuu ya Uingereza mwaka huu ilipata nafasi kuzuru nchi ya Tanzania. Katika safari yao hiyo ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Uingeeza, wachezaji wa timu hiyo waliwe ...
Tarehe 03-06-2017 Tanden iliwakilsha Tanzania katika maonyesho ya nchi mbalimbali kutoka Afrika "African village" ndani ya halmashauri ya Gladsaxe. Tanzania ilishika nafasi ya pili. Nchi mbalimbali toka Afrika ziliwakil ...
Tanzania ni nchi ya kwanza barani Afrika kwa uzalishaji na usafirishaji wa maharage. Tanzania peke yake inahudumia nchi karibia 10 Afrika nzima. Pata kidokeza cha video hapa Kilimo cha maharage Tanzania. Kuna umuhimu mk ...
Swahili version below: TANDEN 10 year Anniversary. Tanden will like to say thank you to all TANDEN members and their friends who attended the meeting yesterday (06-05-2017). The meeting was great and we got lots of good ...
Kampuni ya M-PAYG iliyopo hapa Denmark imevumbua njia mbadala ya kupata nishati ya umeme kwa , wanachi wa Tanzania. kwa kiasi cha 35kr utalipia kwa mwezi matumizi yako ya umeme wa nishati ya jua. Kwa habari zaidi ku ...
Swahili version below: TANDEN 10 YEARS ANNIVERSARRY Dear Tanden members and friends. This year Tanden will be 10 years since it establishment and we are proud of what has been achieved within those 10 years. The main mo ...