Warning: Trying to access array offset on value of type bool in /customers/c/7/7/watanzania.dk/httpd.www/wp-content/themes/diplomat/helper/helper.php on line 256

The Tanzanian Cooking challenge

The Tanzanian Cooking challenge

Klabu ya mpira wa miguu inayoshiriki katika ligi kuu ya Uingereza mwaka huu ilipata nafasi kuzuru nchi ya Tanzania. Katika safari yao hiyo ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Uingeeza, wachezaji wa timu hiyo waliweza tembelea sehemu mbalimbali za vivutio vya Tanzania ( mbuga za wanyama n.k) kivutio kimojawapo kilikua pale baadhi ya wachezaji wa timu hiyo walipotembelea mama ntilie na kupata kifungua kinywa na kupika chakula halisi cha kiTanzania ( Ugali samaki,ugali na mchuzi wa nyama ya ng'ombe n.k) Ukitaka kuona mambo yalivyo jiri na safari hiyo basi bonyeza link hapo chini.

Evertonfc ilivyotembelea Tanzania

Screen Shot 2017-07-26 at 13.41.31

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close