Katika jitihada za kuwezesha waTanzania na marafiki zao katika kujua lugha ya Kiswahili, tumeanza kufanya jitihada ya kuweka misemo, methali katika tovuti yetu.Hii itaweza kutoa fursa ya kuwakumbusha watu walio sahau methali na misemo na kwa upande mwengine itatoa nafasi kwa watu wanataka kujua lugha ya Kiswahili watajifunza pia.
USEMI WA LEO:
"
Avumaye baharini papa kumbe wengi wapo."
SAYINGS OF TODAY:
"Shark is the famous one in the sea but there many others"