Watu wapatao 100 milioni wanazungumza lugha ya kiswahili barani Afrika. Tanzania ikiwa ni nchi mojawapo inayoongoza kwa lugha hiyo. Duniani kote watu wanao jifunza na kuongea wanazidi ongezeka.
Je sisi tulio ughaibuni hususani hapa Denmark tuna mpango nacho vipi??.
Tunakiendeleza vipi?
Tuna washirikisha vipi watoto wetu na wazawa wa hapa katika kukijua? Angalia video kwenye link chini
watu milioni 100 wanakiongea kiswahili